Monday, August 14, 2017

HANDENI YETU

Handeni ilikuwa wilaya ya mkoa wa Tanga katka Tanzania hadi kugawiwa katika wilaya ya Handeni mjini na Wilaya ya Handeni vijijni mwaka 2012.

 Imepatikana wilaya ya Kilindi upande wa magharibi, wilaya ya Korongwe na Mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini, wilaya ya Pangani upande wa mashariki na Mkoa wa Pwani upande wa kusini.

2 comments:

  1. Nina mpango wa kuanza mradi wa Kilimo na ufugaji katika kijiji cha kwa sunga Wilaya ya Handeni vijijini.

    1. Ni mifugo ya aina gani inafaa katika eneo hili?
    2. Ni mazao gani yanafaa katika eneo hili?
    3. Je naweza kulima kilimo cha papai katika eneo hili? Kwa sasa nalima papai kwa dekwzu naona mradi unafanya vizuri sana, je kwa sunga panafaa kilimo cha papai.
    3. eneo hili lina changamoto gani kwa kilimo na mifigo?.

    Asante

    ReplyDelete
  2. Nina mpango wa kuanza mradi wa Kilimo na ufugaji katika kijiji cha kwa sunga Wilaya ya Handeni vijijini.