Katika mchezo wa kukata na shoka uliowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga zote za jijini Dar es salaam kwenye mchezo wa kombe la Hisani uliochezwa jana tarehe 23 Agust 2017. Mechi hiyo ilichezwa majira ya saa 11:00 jioni.
Kila tumu ilijitahidi kusaka ushindi katika mchezo huo lakim mpaka dakika 90 hakuna timu iliyoiona lango la mwenzake, na hapo mwamuzi akaamua ipigwe mikwaju ya penati. Mikwaju ya penalt ikapigwa kwa upande wa timu ya Yanga wakakosa miwili na wakati timu ya Simba wakakosa mmoja. Mpaka mwisho wa mchezo huo Yanga 4-5 Simba.
Angalia hapa penalt zote kati ya Yanga na Simba ngao ya Hisani.

0 comments:
Post a Comment