Sunday, August 13, 2017

WAYNE ROONEY

Mchezaji mpya wa klabu  ya Everton amerudi kivingine kaada ya kuiwezesha timu yake ya Everton kuibuka na ushindi wa goli moja kwa bila. Mchezaji huyo aliyekuwa kinara wa mgoli akiwa na mshetani wekundu klabu ya Manchester United.

Image result for ROONEY EVERTON.PNG

0 comments:

Post a Comment