Sunday, August 13, 2017

T-Shirts

Habari njema kwa  wanatanga na kuwa kupitia blog ya Mwikalo handeni sasa unaweza kupata T-Shirts mbalimbali zenye nembo ya Mwikalo Handeni -Tanga. Kuwa wa kwanza kujipatia T-Shirts yako mapema kusaport chama letu la Handeni Tanga.

  Pia Mwikalo bloginadizaini nembo na kuziprint katika T-Shirts zetu kwa ajili ya matangazo na mavazi ya kisiasa. Pia tuna print T-Shirts mbalimbali kama vile. T-Shirts za shule zote, jezi mbalimbali n.k.,  na kwa wateja wote. Karibu sana tukuhudumie.













0 comments:

Post a Comment