Wednesday, August 23, 2017

MNADA WA NYAMA

Katika wilaya ya Handeni huwa kuna mnada wa kuchoma nyama pia huwa kuna shughuli za kuuza na kununua mifugo mbalimbali kama vile Ng'ombe, Mbuzi n.k. Mnada huu huwa huwakutanisha watu mbalimbali wanaotoka mkoani Tanga na wilaya zake na wengine hutoka nje ya mkoa huu wa Tanga kuja kufanya biashara na wengine huja kula nyama katika mnada huu.
  Mnada huu huwa unafanyika kila siku ya Jumamosi katika wilaya ya Handeni Mjini kata ya Ndelema.






0 comments:

Post a Comment