Karibu sana katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Kibao hiki kinachoonyesha njia ya kuelekea Wilaya ya Handeni mjini kiliwekwa sehemu ya Mkata Handeni.
Blog hii ya Mwikalo, imetengenezwa kwa ajili tu ya kutoa elimu nahabari mbalimbali zinazojiri kila siku hasa katika wilaya yetu inayohitaji elimu ya ziada katika Uchumi, Siasa, na habari mbalimbali. Learn More →
0 comments:
Post a Comment