Ligi ya mabingwa Ulaya Uefa Champion League imeendelea tena leo katika viwanja mbalimbali balani huko.Tottenham ilikuwa ugenini wakicheza na timu ya APOEL na ikafanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa moja huku magoli matatu ya Tottenham yakifungwa na mshambuliji wake mahiri H. Kane.
Kule inchini Ujeruman timu ya B. Dortmund ilikuwa nyumbani kuwakaribisha mabingwa wa Hispania timu ya R. Madrid. Katika mchezo huo uliokuwa na kasi ya aina yake mpaka dakika 90 zinamalizika matokeo yalikuwa Dortmund 1- 3 R. Madrid huku C.Ronald akifunga magoli mawili katika mchezo huo na goli la tatu likifungwa na G. Bale.
Tazama matokeo ya mechi zingine zilizochezwa leo.
Pia UEFA itaendelea tena kesho kwa michezo kadhaa kama inavyoonesha hapa chini. Man United itakuwa ugenini ikicheza na CSKA, huku mechi kubwa kuliko ni kati ya mabingwa wa inchini Ufaransa PSG wakicheza na mabingwa wa incini Ujerumani B. Munichen.
Ratiba ni kama ufuatavyo-:
0 comments:
Post a Comment