Leo tarehe 27 Sept 2017 ligi ya mabingwa ulaya inaendelea kwa michezo kadhaa huku mchezo unaotazamiwa kuwa wa aina ni kati ya Mabingwa wa inchini Ufaransa PSG wakiwa wenyeji wa timu ya Ujeruman B. Munichen. Mchezo huo unatarajiwa kucheza majira ya saa 3-45 usiku katika uwanja wa Parc Des Princes.
Kila timu imejipanga vizuri kutafuta ushindi katika mchezo huo, ukiangalia kila timu ina wachezaji wazuri na wenye viwango vizuri pia katika mashindano hayo. Kwa upande wa PSG wenyewe watawategemea washambuliaji wake kama Cavan, na Neymar katika safu ya ushambuliaji.
Huu ni mchezo ambao kila mmoja anautarajia kwa hamu kubwa ili kujuwa ni nani ataibuka kidedea na ushindi katika mchezo huo. Katiak kundi hil PSG anaongoza akiwa na jumla ya point 3, akifuatiwa na B. Munichen nae akiwa na pointi 3.

0 comments:
Post a Comment