Friday, August 25, 2017

ZLATAN IBRAHIMOVIC

Kutoka Jijini Manchester.
Mchezaji maarufu duniani Zlatan Ibrahimovic amerejea tena katika timu yake ya Manchester United hii ni baada ya mchezaji huyo kusumbuliwa na majeraha kwa mda mrefu. Katika klabu hiyo ya  Jijini Manchester kwa sasa ipo kwenye kiwango kizuri na sha kutia moyo hasa kwa mashabiki wa timu hiyo.

Timu hiyo ilifanya usajili wa wachezaji kadha ambao matunda yake yameonekana hasa kwa mshambuliaji Lukaku aliyetokea timu ya Everton. Kurudi kwa Zlatan Ibrahimovic  kutaongeza hamasa katika safu ya ushambuliaji.Lukaku ni mchezaji ambaye amekuwa kwenye kiwango bora kwa sasa kwenye kikosi cha Man United  na kumfanya awe ni mshambuliaji tegemezi katika kikosi hicho chini kocha Jose Mourinho.

0 comments:

Post a Comment