Ligi kuu ya England inaendela tena leo katika viwanja mbalimbali huku mchezo wa mapema uliochezwa ulikuwa kati ya timu ya West Ham united dhidi ya Tottenham.
Katika mchezo huo timu ya Tottenham imeibuka na ushindi wa magoli matatu kwa mawili dhidi ya West Ham united. Mshambuliaji H. Kane ameiwezesha timu timu yake kuibuka na ushindi huwa baada ya kufunga magoli mawili katika mchezo huo.
Magoli ya West Ham United yalifungwa na C
Kouyte na Javier Hernandez, huku kwa upande wa Tottenham magoli yalifungwa na C. Eriksen na H. Kane aliyefunga magoli mawili.
Mpakadakika 90 West Ham united 2-3 Tottenham.

0 comments:
Post a Comment