Saturday, September 23, 2017

MATOKEO YA LEO EPL

Mechi mbalimbali zimepigwa Leo katika ligi kuu England, na kila timu imejaribu kutafuta ushindi katika michezo hiyo. Man U imepata ushindi wa goli moja lililofungwa na mshambuliaji wake Lukaku, huku timu ya Chelsea ikipata ushindi wa magoli manne dhidi ya Stoke City.
Tazama hapa chini kupata matokeo ya mechi zingine zilizochezwa Leo inchini England.

0 comments:

Post a Comment