Timu ya Chelsea ya nchini Uingereza leo inafanya maandalizi ya mwisho mwisho ya kujiandaa kucheza na timu ya Stoke City katika mchezo wa kombe la ligi hiyo. Klabu hiyo ya darajani leo itakuwa ugenini ikijaribu kutafuta ushindi katika mchezo huu wa Leo.
Chelsea katika mechi iliyopita haikupata ushindi dhidi ya timu ya Arsenal. Mpaka dakika 90 timu hizo zilitoka sare bila ya kufungana. Kwahiyo leo timu ya Chelsea inajaribu kusaka ushindi ili kujiimarisha zaidi katika msimamo wa ligi. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa mida ya saa 11:00 jioni.

0 comments:
Post a Comment